Текст песни Khaligraph Jones - Tuma kitu
Просмотров: 1
0 чел. считают текст песни верным
0 чел. считают текст песни неверным
0 чел. считают текст песни верным
0 чел. считают текст песни неверным
На этой странице находится текст песни Khaligraph Jones - Tuma kitu, а также перевод песни и видео или клип.
OG Tuma Kitu! Yeah Kwa mbosho nina rwabe mbele nyuma (Sina Pesa) Na bado inafaa nifike Ronga (Woouh) Niko Railways buda nimenuna (Achana na Mimi) Najaribu kuskiza madonda (Niaje?) Mresh keja amedai hataki skuma (Iyeee!) Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda) Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma) Niwekee kwa hii namba buda boss (1,2, 3) Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee tuma kitu Eyoo all I do is win kama Khaled ama Usman Kamaru Headbad but siingiangi booth na manyaru Leo ni Rangey staki nuks za Subaru Mi bazenga swag nawapigiaga look ya Gumbaru Ndo nike hapa Amen ni Mungu Hii kitu huwanga ni tamu but again ni chungu I remember I wanted to work for NTV But maybe pia mimi ningechujwa kama Ken Mijungu But mi ni rapa nawapeleka na Rieng Na ka ni mashini mi huendesha Manyien Yesu ni Baba sitaki mezesha jachieng Yes bana inachuna tukiveveka na Bien Hatujaanza juzi hii ni lugha ya zamani Jeshi yangu ya bangi huivuta hadharani So waambieni OG amefika Na hii ni rhumba ya Kayole hii si rhumba ya japani Lets Go! Kwa mbosho nina rwabe mbele nyuma (Sina Pesa) Na bado inafaa nifike Ronga (Woouh) Niko Railways buda nimenuna (Achana na Mimi) Najaribu kuskiza madonda (Niaje?) Mresh keja amedai hataki skuma (Iyeee!) Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda) Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma) Niwekee kwa hii namba buda boss (1,2, 3) Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee tuma kitu Eyoo nina issues kadhaa Nimechia paparazzi rada Na usiniite Brayo afadhali papa Omollo toka Bondo, hapo shwari kaka After nipate mjunior ilibidi nisare fwaka Na sijai ogopa kuwa na enemies But after God the only thing na fear ni feminist I hope I don’t get crashed for that Don’t be surprised mkiambiwa this verse is whack Either way niko wera siwezi choka nichekwe Niko hapa niko kula buda mboga ni mbexse Kakamega holly Tanasha — shikwekwe Ju ka form ina keroma then I’m always interested Kuna deal inaivana ikijipa nitakushow Pereka hio lugha huko we nilipe zangu doh Hii ni language ya mabroker watakutoka ukisleki So chorea kutoanishana ka mwenyewe huchekeshi Bomboclat! Kwa mbosho nina rwabe mbele nyuma (Sina Pesa) Na bado inafaa nifike Ronga (Woouh) Niko Railways buda nimenuna (Achana na Mimi) Najaribu kuskiza madonda (Niaje?) Mresh keja amedai hataki skuma (Iyeee!) Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda) Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma) Niwekee kwa hii namba buda boss (1,2, 3) Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee tuma kitu Nairobi kila mtu celebrity Bora uko fresh na ung’are Utajipata Obinja ka Guest wa Mkare Na ukiwa na Ex na amekataa kumove on You prolly the next topic on Edgar Obare Mayweather champ crew TMT Flex mode boy known check TMZ This me, me know care me got keyboard So just be up in your DM ka DNG Beat bumba vile imefungwa utadhani Pharell Netptune boom twaff, kitu sa marel Nyasae achiel, mimi sikutaki Jaber Your rapper boyfriend amebonda hakuwa Khali Kartel Ndo ukuwe rapper Kenya lazima kudiss papa Then ungoje uone ka mbogi itakudiscover Weka bidii usiketi ukingojea feature Acha kuwa desperado unajichomea picha Niko Mayolo na Ghetto Na am go low kwa macho Unaeza nifollow kwa IG Mi ni Omollo jabato Kijana kutoka Bondo nimerest my case But ka ni chupa imenibamba Most def nitaichase (No) Bado naendelea (Lea) Bars zinateketea (Tea) Kazi naekelea (Lea) Nani anamezeshea (Iyeaah) We ndo naongelea Tracks zenyu nakojolea Ka ni rap siachi Ju Kenya ni mimi inategemea (Jones Nigga) Sina Pesa, woouh Achana na mimi Niaje! Iyeeah Kwenda, Tuma Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee tuma kitu Смотрите также:Все тексты Khaligraph Jones >>> |
|
(Джонс Ниггер)
У меня нет денег, ты
Оставь меня
Как ты! Iyeeah
Иди, отправить
Отправить что -нибудь, пришлите что -нибудь, пришлите что -нибудь
И миссия, а также предоставление
Отправить что -нибудь, пришлите что -нибудь, пришлите что -нибудь
Форма Manze не POA
Отправить что -нибудь, пришлите что -нибудь, пришлите что -нибудь
Не забывай и даст
Отправить что -нибудь, пришлите что -нибудь, пришлите что -нибудь
Гэти прислать что -нибудь