• А
  • Б
  • В
  • Г
  • Д
  • Е
  • Ж
  • З
  • И
  • К
  • Л
  • М
  • Н
  • О
  • П
  • Р
  • С
  • Т
  • У
  • Ф
  • Х
  • Ц
  • Ч
  • Ш
  • Э
  • Ю
  • Я
  • A
  • B
  • C
  • D
  • E
  • F
  • G
  • H
  • I
  • J
  • K
  • L
  • M
  • N
  • O
  • P
  • Q
  • R
  • S
  • T
  • U
  • V
  • W
  • X
  • Y
  • Z
  • #
  • Текст песни King's Ministers Melodies - Mbali Sana

    Просмотров: 2
    0 чел. считают текст песни верным
    0 чел. считают текст песни неверным
    На этой странице находится текст песни King's Ministers Melodies - Mbali Sana, а также перевод песни и видео или клип.
    1. Mbali sana sauti za dhambi zaniita, Nikajua maovu yametanda kote,
    Hofu na fedheha kwangu hazitanitisha, Ninatazamia nchi nzuri.

    Naishi mlimani chini ya wingu safi, Nanyweshwa chemichemi, livujikalo tele, Kweli - nalishwa ile maana isiyoisha kamwe, Katika nchi, nchi nzuri x2.

    2. Mbali tena dhoruba dunia inayumba, cdui vita ni kubwa wana wa Mungu, Nami kwa neno la Bwana sitarudi nyuma, Ninatazamia nchi nzuri.

    3. Hata mawimbi yavume sitatingizika, Ni mabawani mwake Mungu hunikinga, Jua laniangazia siogopi kitu,
    Kwangu ni salama nchi nzuri.

    4. Nitazamapo kazi ya Mungu nashangazwa, cmenipa ahadi alonipangia,
    Roho ananifunza wokovu kamilifu,
    Kweli naingia, nchi nzuri.
    Опрос: Верный ли текст песни?
    Да Нет